Sunday, 11 January 2015

Mamangu lyrics by Willy Paul

Artist:Willy Paul
Song:Mamangu
Intro:
Wewe Ndiwe Mama, Tena Best Friend,
Nakupenda Ma,
Eti, Wewe Ndiwe Mama, Tena Best Friend,

Kama Vile Daddy Aliniwacha Mami,
Usiniwache Willy,
Kama Vile Daddy Aliniwacha Mami,
Usiniwache Willy,

Nyumbani Kwangu, Ni Kwako Mama,
Nyumbani Kwangu, Ni Kwako Mama, Heh Wewe,
Nyumbani Kwangu, Ni Kwako Mama, Heh, Eiya, Aaah,
Nyumbani Kwangu, Ni Kwako Mama,
Nyumbani Kwangu, Ni Kwako Mama, 
Nyumbani Kwangu, Ni Kwako Mama,

Kama Vile Daddy Aliniwacha Mami,
Usiniwache Willy,
Kama Vile Daddy Aliniwacha Mami,
Usiniwache Willy,
Ubonge Na Mungu,
Akuruhusu Ubaki Na Mi,
Kama Umeshindwa, Tuma Malaika,
Wabonge Na Ye,
Kama Ukishindwa, Tuma Malaika,
Wabonge Na Ye,
Uniahidi, Ukigonjeka Utapona,
Uniahidi, Ukiondoka Mama Utarudi,
Uniahidi, Utakuwa Nami Mpaka Mwisho,

Nyumbani Kwangu, Ni Kwako Mama,
Nyumbani Kwangu, Ni Kwako Mama,
Nyumbani Kwangu, Ni Kwako Mama,
Nyumbani Kwangu, Ni Kwako Mama, 
Nyumbani Kwangu, Ni Kwako Mama,
Nyumbani Kwangu, Ni Kwako Mama,

Shida Kwa Wingi, Umepitia Mama Wange,
Tatizo Ni Mingi, Umepitia Mama Wange,
Lakini Umeyashinda, Umeyashinda Mama Wange,
Lakini Umeyashinda, Umeyashinda Kwa Jina Lake Jalali,
Wewe Ndio Wangu, Mama Wange,
Na Mimi Ndio Wako, Mama Wako,
Wewe Ndio Wangu, Mama Wange,

Nyumbani Kwangu, Ni Kwako Mama,
Nyumbani Kwangu, Ni Kwako Mama,
Nyumbani Kwangu, Ni Kwako Mama,
Nyumbani Kwangu, Ni Kwako Mama,
Nyumbani Kwangu, Ni Kwako Mama,
Nyumbani Kwangu, Ni Kwako Mama,

No comments:

Post a Comment