Sunday, 11 January 2015

Nikikutazama lyrics by Hart the Band

Artist:Hart the Band
Song:Nikikutazama

Nikikutazama,
Moyo Wayoyoma,
Kipenzi Cha Ngoro,
Ndakhuyanza,
Nikikutazama,
Moyo Wayoyoma,
Kipenzi Cha Ngoro,
Ndakhuyanza,

Verse 1:
Huenda Leo Tuko Chini,
Twatembea Matopeni,
Usiwaskize Matapeli,
Kesho Tuna Gari,
Mi Nasaka Mali,
Twende Kwenyu Mashambani,
Nikalipe Mahari,
Tuishi Kwa Amani,

Hook:
Nikikutazama,
Moyo Wayoyoma,
Kipenzi Cha Ngoro,
Ndakhuyanza,
Nikikutazama,
Moyo Wayoyoma,
Kipenzi Cha Ngoro,
Ndakhuyanza,

Verse 2:
Kweli Toto Si Toto,
Na Roho La Mtoto,
Nipe Busu Ma Sweety (Kwa Nini)
Nimeku Missi,
Twende Tumuone Kasisi,
Au D.C Kwa Ofisi,
Turingie Mafisi,
Ndakhuyanza,

Hook:
Nikikutazama,
Moyo Wayoyoma,
Kipenzi Cha Ngoro,
Ndakhuyanza,
Nikikutazama,
Moyo Wayoyoma,
Kipenzi Cha Ngoro,
Ndakhuyanza,

Verse 3:
Nameless My Dear,
We Mpenzi Sinzia,
Penzi Langu Sincere,
Ndakhuyanza,
E-Sir, Ni Mos Mos,
Baby When You're So Close,
Let Whipe Off Your Lip Gloss, Mwaaaah,
Ndakhuyanza,
Nikikutazama.....

Nikikutazama,
Moyo Wayoyoma,
Kipenzi Cha Ngoro,
Ndakhuyanza,

No comments:

Post a Comment