Sunday, 11 January 2015

Nyongwa lyrics by Kansoul

Artist:Kansoul
Song:Nyongwa

Intro(Mejja)
Yoo, Manze, Huu Ni Mejja Manze Okwonkwo
Madtraxx, Hii Track ni Noma,

Chorus:
Chini Kwa Chini,
Chini Kwa Chini,
Chini Kwa Chini,
Chini Kwa Chini,
Twende,
Juu Kwa Juu,
Juu Kwa Juu,
Juu Kwa Juu,
Juu Kwa Juu,
Chini Kwa Chini,
Chini Kwa Chini,
Chini Kwa Chini,
Chini Kwa Chini,

Verse 1(Mejja):
Twende Juu, Twende Chini,
Ukichoka Shikilia Chini,
Uwe Na Miaka Themanini Ama Arubaini,
Kata Kiuno Kama Una Mashini,
Ni Sisi Tena, Mejja Na Mad-Trizzy,
Combination, Utachizi,
Weka Manzi Poa Ama Nimpeleke Missing,
Ule Dem Ako Na Micro Mini,
Anaku Bamba Piga Kiswahili,
Kama Umekwama Fanya Hivi,

Nyongwa,
Nyongwa,
Nyongwa,
Nyongwa,
Nyongwa,
Nyongwa,
Nyongwa,
Nyongwa,

Verse 2(Madtraxx):
I Said It, Who Got The Biggest Appetite For Kenyan Ladies,
Haiwezi Kua Madtraxx, Its Your Boy Mad-Trizzy,
Tha, Tha, Tha, Thats A Lie,
I'm A Super Crazy Guy Jo Kutoka Nai,
Ooooooookay, I Sey Di Aii Di Jammy Jammy
Jammy Jammy,
I Sey Di Aii Di Jammy Jammy,
Jina Ni Mad-Trizzy,
A.K.A Mwenda Mchizi,
Kama We Ni Manzi, Unakatika Hivi,
Juu Kwa Simiti, Ingine Juu Ya Kiti,
Unazungusha Tu, Ukienda Chini,
Unaniangalia, Nakurushia Mbili,
Nakuguza Haga, Unaskia Thithi,
Wacha Haraka, Vuta mini Chini,
Tukifika Home, Ntakupiga Mi,
Ntakupiga Mi,
Anza Kwa Kitanda Tumalizie Kwa Ki(ti),
Ntakupiga Mi,
Ntakupiga Mi,
Anza Kwa Kitanda Tumalizie Kwa Ki(ti),
Manze Hiyo Ni Fiti,

Chorus:
Chini Kwa Chini,
Chini Kwa Chini,
Chini Kwa Chini,
(Ndio Mchezo Wa Kisasa)
Juu Kwa Juu,
Juu Kwa Juu,
Juu Kwa Juu,
(Ndio Mchezo Wa Kisasa)
Chini Kwa Chini,
Chini Kwa Chini,
Chini Kwa Chini,
(Ndio Mchezo Wa Kisasa)
Nyongwa,
Nyongwa,
Nyongwa,
Nyongwa,
Nyongwa,
Nyongwa,
Nyongwa,
Nyongwa

No comments:

Post a Comment